TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu na Kada Ya Afya 2024/2025
Serikali imetoa kibari cha kuajili walimu na wafanyakazi wa kada ya Afya wapatao 23000 kwa mwaka wa ajira 2024/2025. Ajira hizi za walimu zimehusisha vitizo vyote yani walimu yaani walimu wa masomo ya saana na sanyansi kwa shule za misingi nas sekondari TAMISEMI news today ajira, Tamisemi go tz login, ajira.tamisemi.go.tz oteas, Katibu Mkuu TAMISEMI, Namba ya simu ya waziri wa tamisemi, Tamisemi fb, TAMISEMI news, TAMISEMI Ajira, www.tamisemi.go.tz matokeo, Tamisemi Uhamisho, TAMISEMI selection, WIZARA ya elimu TAMISEMI.
TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu 2024,Nafasi za kazi za Walimu 2024,Ajira mpya za walimu 2024,Nafasi za kazi za walimu 2024,TAMISEMI Ajira za elimu na Afya 2024
?
TAMISEMI JOBS: SIMIYU: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema mwezi ujao serikali inatarajia kutangaza ajira 23,000 katika sekta ya afya na elimu ili kukabiliana na upungufu wa watumishi uliopo.
Pia amewataka watendaji na watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kutokubali kutukanwa na serikali. Mchengerwa alisema hayo jana mjini Simiyu katika ziara yake ya kukagua miradi na kuzungumza na watumishi mkoani Simiyu. Alisema baada ya kukamilisha taratibu za serikali, mkoa huo utaongezewa watumishi walioombwa katika kada mbalimbali ikiwamo afya na elimu.
MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
Awali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda alisema mahitaji ya watumishi katika mkoa huo na wilaya zake ni 21,000 na waliopo ni 12,000 hivyo kuna upungufu wa watumishi 8,000 na kuiomba serikali kuondoa changamoto hiyo hasa. katika sekta ya elimu na afya.