Eskimi DSP imefungua fursa mpya kwa maafisa masoko wa Tanzania
Eskimi DSP, jukwaa la programu ya Afrika-kwanza lililoendelea, hivi karibuni imetangaza kupanua mipango yake ya kutoa huduma katika soko la Tanzania. Vipengele vikuu vya jukwaa hili ni upekee wa kuwafikia zaidi ya watumiaji milioni 6.7 nchini Tanzania, ikitoa huduma kwa kuonekana zaidi ya mara bilioni 1 kwenye tovuti 70,000 na application mbalimbali, na kusaidia zaidi ya mifumo 14 ya kibunifu ikiwemo rich media, dynamic na matangazo ya video.
Kuingia kwa Eskimi DSP katika soko kumekuja muda muafaka ukizingatia utumiaji wa simu za mkononi umezidi 80%, ukiongeza fursa ya masoko kwa bidhaa. Kutafuta masoko kwa njia ya kidigitali kutatoa kipimo kikubwa na ufanisi wa gharama kuliko mfumo wa kutangaza biashara uliopo hivi sasa, ukiwa na mvuto zaidi kwa wanaotangaza.
"Tulipofanya kazi na washirika ulimwenguni, tulilenga katika teknolojia yetu kwa kuendeleza kupanua wigo hadi katika soko la Tanzania, na kwa wakati huo huo kutoa vipengele vinavyoendana na matakwa yanayohitajika katika kampeni za kidijitali", alisema Mkurugenzi Mtendaji Vytas Paukstys, Eskimi DSP.
Paukstys pia alitaja jinsi jukwaa la DSP linavyoweza kutumika kuwafikia wateja waliolengwa. "Faida kuu ya Eskimi DSP ni uwezo wa kuendesha kampeni bora na kuwalenga wateja kulingana na umri, jinsia, eneo, aina ya kifaa na vitu vinavyopendelewa. Kwa kuongezea, mfumo wa rich media unaweza kutumiwa kwa njia za kiubunifu kuelezea ujumbe wa bidhaa. Sehemu ya mwisho ya ubora wetu ni nia yetu kwenye usalama wa bidhaa, ambacho ni kitu muhimu kwa wanaotangaza bidhaa ulimwenguni kama Unilever".
Eskimi DSP imeshatia sahihi mkataba wa makubaliano na moja ya mashirika makubwa nchini Tanzania, na imeshafanikiwa kuwa na kampeni za mafunzo mbalimbali. Kwa sasa kampuni imetenga rasilimali madhubuti ili kutoa msaada kwa wataalamu wa masoko kuendesha kampeni zao za kwanza za programu na kuwasaidia kutimiza malengo yao kwenye masoko.
business.eskimi.com/dsp/
In English
Eskimi DSP opens up new possibilities for Tanzanian marketers
Eskimi DSP, an “Africa-first” developed programmatic platform, have recently announced expansion plans to service the Tanzanian market. Key features of the platform is a unique reach of over 6.7million users in Tanzania, serving over 1 billion impressions across 70,000 sites and apps, and supporting over 14 creative formats including rich media, dynamic and video ads.
Eskimi DSP’s entry into the market comes at the right time as mobile penetration exceeds 80%, increasing the marketing opportunities for brands. Digital marketing offers greater measurability and cost optimisation than traditional media, making it attractive to advertisers.
“Working with global partners, we focused our technologies into developing the widest reach in Tanzania market, at the same time offering features that meet the targeting needs of most digital campaigns”, said Vytas Paukstys, CEO, Eskimi DSP.
Paukstys also outlined how the DSP platform can be used to reach target customers. “The main benefit of Eskimi DSP is the ability to run smart campaigns and target consumers based on age, gender, location, device type and interests. In addition, rich media formats can be deployed in innovative ways to communicate brand messages. The final part of the package is our commitment to brand safety, which is important to global advertisers such as Unilever”.
Eskimi DSP has already signed a partnership agreement with one of the biggest agencies in Tanzania and already has successful programmatic campaigns’ case studies. At the moment company has allocated solid resources for providing necessary support for all marketing professionals to run their first programmatic campaigns and help them to achieve their marketing goals.